Wednesday, April 30, 2014

HUYU NDIO MAMA WA MAJANGA,TAZAMA HIZI PICHA NI MAJANGA KWELI.....!!!

By on 1:42 PM
 Naamini kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hi EW MAISHA CLUB atazindua video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa wa kwanza kuiona, atasindikizwa na WEMA SEPETU atakata utepe wa video ya majanga,MIRROR,SAMIR,ALI NIPISHE,TIMBULO,BAUCHA,MENINAH, na MADEE kiingilio 10,000 tu hii show sio yakukosa kabisa.

0 comments:

Post a Comment