Anal Sex (Ngono kinyume) na maumbile-Ukweli!
Sasa kama kawaida yangu mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au
kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima
utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu wazima
na tuna akili timamu na tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata
mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice.
Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo “MWIKO”
ktk jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu
na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na
mafundisho ya imani zetu za Dini.
Kinachofanyika chumbani ni
uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya
hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi
tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na
tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo
hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinzi.
Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta
wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua
“unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na
hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.
Inasemekana kuwa wanawake hatuna hisia za utamu au raha ndani ya mkundu
bali wanaume wanahisia Fulani na unono huko kunako “O” na baadhi
husimamisha zaidi ikiwa watabonyezwa katikati ya mapumbu na sehemu ya
kunyea au kuchuliwa/shikwa/kandwa/lambwa
kwa vile kuna vijimishipa ambavyo ni “most sensitive”na hupelekea
wapate utamu ule tunaoupata sisi wanawake tunapotandikwa kwenye “kipele
G”. ……
Lakini kutokana na miiko wanaume wengi huwa hawaruhusu
hii kwa vile wanahisi kuwa hakuna tofauti na kuwa shoga au wanadhani
watazoea na kuwa “watoto wa watu” (Ushoga ni hali/hisia ya
kuvutiwa/kutamani mtu wa jinsia yako sio kushikwa au kufurahia sehemu ya
mwili wako).
Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao,
kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo
wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma
(sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu
watusaidie hapa.
Ukweli kuhusu Tigo.
- Sio tendo asilia ktk
swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa
na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya wa vile
“mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini
unataka kifanyike mwilini mwako. Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio
“natural” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa
kufanya hivyo.
-Mkundu hauna ute asilia wa kuisaidia mboo kuingia bila “kwere” hivyo unahitaji vilainisho maalumu ili kurahisisha hilo.
- Hakikisha mnatumia Condom zenye “polyurethane” hizi inasemekana ni
imara na zinahimili joto la huko kumavi kuliko zenye “spermicides” kwani
husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo menine
yayokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya kunyea.
-Mara mishipa ya mkundu ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa
mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili
ya shughuli hiyo.
-Hakikisha uume ukitoka Mkunduni haugusi au
kuingizwa tena ukeni ili kuepuka maambukizo kwani sote tunatambua kuwa
huko mahala kuna vijidudu asilia ambavyo ukivikanganya tu unaibuka na
gonjwa la ajabu(unakumbuka hadithi ya AIDS?).
-Wengi tunaamini
kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia
kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya
kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).
-Kuingiziwa ndude huko kumugongo kunauma (kunakupa maumivu)…..fikilia
unapokunya kimba gumu tena baada ya kumeza mbegu za matunda Fulani
yanaitwa “mabungo”…tunda lenyewe ni mbegu na mbegu hizo zinatabia ya
kutereza bila taarifa…..sasa rafiki yangu sikilizia wakati wa kutoa
kimba…utalia basi nasikia Tigo pia inauma sana lakini wasogo wake
wanatumia mafuta au Jelly kutimiza haja zao.
-Ukizoea sana
kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa
utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na
tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni
ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha watu bali
kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi.
Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa
zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.
*Mimi binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo)
ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya
vile utakavyo.
Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili
wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au
akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.
Tafadhali shirikiana nami kwa kushusha madhara ya Tigo au faida kama zipo