1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye.
2. Wakati wowote ukipata nafasi muandikie barua au msg kwenye simu mueleze hisia zako kiasi gani unampenda. Kumbuka wasichana hupenda kusikia zaidi kutoka kwa wapenzi wao ni kiasi gani wanapendwa. Haitakiwi iwe tu katika kipindi cha siku ya wapendanao ndio umuoneshe kuwa unampenda. Muoneshe msichana ni kiasi gani yeye ni muhimu sana kwako.
3. Busu la ghafla na kumshika mkono wakati mkitembea pamoja itamfanya yeye kujisikia raha zaidi. Na wakati mwingine msuprise kwa kumtembelea mara kwa mara hi humfanya akuone wewe ni mtu muhimu pale usipokuwa naye karibu na kumfanya kukuhitaji zaidi ukiwa naye mbali
4. Tambua mahitaji yake. Uwe msaada kwake kipindi ambacho mpenzi wako amekasirika kuwa pale kwa ajili yake na ukimpooza kwa sauti ya upole na mahaba. Utashangazwa sana na kiasi gani msaada huo umeleta mabadiliko kwake. Hakikisha unamsaidia katika shida zake hapa ndipo kuna tatizo kwa wavulana wengi. Mapenzi si pesa lakini kuna kipindi ambacho pesa huitajika kulinda penzi lako. Si msichana anapokuomba pesa ina maana ana nia ya kukuchuna au amekupendea pesa kuna shida nyingine inabidi akuombe wewe tena kwa kukupima kama utakuwa tayari kumsaidia.
5. Mchukue mpenzi wako out mara nyingine itamfanya ajisikie furaha sana kwa sababu wasichana hupenda enjoyment na boyfriend zao. Hii haitamfanya mpenzi wako tu kuwa na furaha bali itawafanya nyie kwa pamoja kujuana na kufahamiana zaidi.
6. Kuwa muwazi kwake usimfiche jambo linalokuhusu. Msichana hupenda kutoa ushauri kwa mtu ampendaye hivyo unapokuwa muwazi atajisikia kuthaminiwa nawe na kukuona umemuamini
7. Ukijiona upo busy sana usithubutu kuacha japo kumpigia simu mara mbili kwa siku hata kama ukishindwa kumpigia wakati upo ofisini darasani au kwingineko hakikisha unapopata nafasi japo ujumbe mfupi wa kumwambia unampenda.
8. Mkumbatie mara kwa mara katika tukio la kumbatizi kuna jambo kubwa sana hutokea. Si kwake tu hata kwako mvulana. Hali ya joto lenu huwaweka pamoja kifikra hata pale msipokuwa pamoja.
9. Epuka maugomvi na hasira za mara kwa mara ukiwa nae. Mwanamke hupenda ustaarabu kwa mtu ambaye yupo serious naye hivyo ukionesha hasira kabla hata hujamtongoza unaweza ukamkosa msichana hivihivi wasichana huwaogopa wavulana wenye hasira na wagomvi kwa sababu hupenda kubembelezwa.
10. Mdekeze. Msichana anapenda kudeka anaenda kudeka sana na kubembelezwa sana hivyo mvulana ukidekewa usikasirike eti huyu msichana kazidi wewe ndio wakati wako wa kumuonesha msuchana wako unampenda mdekeze mpaka aone aibu kudeka siku nyingine. Wasichana wameumbwa kwa jili ya wavulana ndio maana hudeka hii ndiyo silaha pekee na ya mwisho kumpata msichana hata kamasi wako ni wa rafiki yako unaweza ukatumia silaha hii kumpora msichana huyo kwa mwenzio usipojua kudekeza utaachwa pia
(kushare ni pendekezo lako kama umeipenda)
Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema. Kwa kuanza kuchambua tabia za wasichana, tuanze na hizi chache zinazomuhusu msichana ambaye upo naye katika mahusiano.
1. Msichana hupenda kusifiwa yeye ni mzuri. Hata kama hataonesha wazi kufurahishwa na ulivyomsifia! lakini moyoni atakuwa amefurahi sana. Usijisahau, ukaacha kumsifia yeye ni mzuri mara kwa mara utakapokuwa naye
2. Hakikisha anafika nyumbani salama kivyovyote vile uwezavyo. Kama umetoka naye safari au matembezini usimuache kabla hujawa na hakika kama atafika nyumbani salama,
3 usiogope kumshika au kumkumbatia mbele ya umati au rafiki zake. Kama ameamua kutoka na wewe sehemu ya watu wengi na hakuonei aibu basi ni wazi anapenda kuwa katika mikono yako muda wote.
4 kama akikuzaba kibao cha hasira, ni wazi kibao hicho kinakustahili kutokana na ulivyomuumiza kihisia. Usimrudishie wala kufanya maamuzi magumu
5 kama ukiwa unaongea na wasichana wengine na mpenzi wako akiwa karibu yako, hakikisha huongei udhaifu wa mpenzi wako kuwa huupendi hata kama humtahi yeye kwenye hizo simulizi zenu na hakikisha unaongea yale mazuri anayokufanyia tena ukimtolea mfano yeye. Itamfanya yeye kuona wewe unampenda zaidi.
6 kama kuna mwanaume anamsumbua mpenzi wako, ni wakati wako kuhakikisha mpenzi wako anajisikia furaha muda wote kwa kuwa naye karibu na kumfanya asijihisi kuudhiwa
7 usijaribu hata siku moja kumchapa kibao, mwanamke hapigwi hata katika utani. Hata kama ni yeye ndiye ameanza kukutukana usimuadhibu kwa kumpiga.
8 hakikisha usahau siku yake ya kuzaliwa.
9 usimdanganye msichana, huwa wanapeleleza mambo bila kukuonesha kama wanakufuatilia.
10 HAKIKISHA HUMSIFII MPENZI WAKO ALIYEPITA HATA KAMA HUYO WA SASA AMEKUKOSEA. USIJE KUJARIBU KUSEMA "BORA FULANI ALIKUWA ANANIFANYIA HIVI" ITAKUCOS
Jinsi ya kuheshimu mwanamke
Ili kuheshimu mwanamke kama unataka mwanamke wako staring saa wewe tu kama wakati kukutana nao, lazima kutibiwa na heshima
Kama unataka mwanamke wako staring saa wewe tu kama wakati kukutana nao, lazima kutibiwa na matibabu heshima sahihi ni muhimu kwa kujenga nzuri, kudumu uhusiano wenye msingi wa kuheshimiana hapa ni baadhi ya vidokezo .. juu ya jinsi ya kutibu wanawake kwa heshima, hivyo daima kujisikia muhimu na kupendwa Kura ya watu mbele ya marafiki kuzungumza juu ya wanawake. kama kuhusu mbwa wako. kamwe kwa njia hiyo kueleza mwanamke mbele ya wengine. Kazi yako ni pongezi ya mwanamke na hadithi yeye katika superlatives watu wengi. anasimama kama nene kama mpenzi wao au jinsi vibaya kupikwa. na kuangalia na dharau ya juu ya wale ambao kukosoa mke wake. Kama una kitu cha lawama mpenzi wako bora kumweleza kuhusu hilo moja kwa moja, na si kila mtu kuenea katika mzunguko, kwa sababu unaweza kuhisi mashaka
Hakika huwezi kutenda mpenzi wake dhidi ya watu wengine.. Baadhi ya watu kudhoofisha mamlaka ya wake zao na watu wengine, na wakati mwingine hata na watoto. Kuna baadhi ya watu ambao ni kuangalia washirika katika uwepo wa wanawake wengine, mara nyingi scantily ilipo, na mbaya zaidi mbele ya washirika na watoto, kutaniana na wanawake wengine tabia hiyo inaweza kuumiza hisia za mpenzi wako. na kufanya kujisikia kama takataka.
Wakati mwingine wanawake hutumia katika bafuni kadhaa masaa tafadhali mtu wako, na baada ya kupita kwa mwanamke yeyote scantily wamevaa, mtu mara moja mabadiliko ya somo la maslahi yako Wakati mwingine unaweza kuwa na kujaribu kuweka katika hali yake..
hutokea kwamba mtu mwenye vipenzi marafiki zaidi ya mpenzi wake kwa ajili yako mwenyewe, kumbuka daima-jina mwenzake, lakini anasahau siku jina la mpenzi wake. Kama unataka mwanamke wako kujisikia kupendwa, mabadiliko ya njia zenu, na kuona ni jinsi gani ya kuboresha uhusiano wako na mara ngapi itakuwa kugusa chini katika chumba cha kulala.
Kama sio kukubaliana na mpenzi wako au kitu katika kesi yake si kama kuongea naye kuhusu hilo wakati wewe ni peke yake mbele ya watu wengine tu msifuni katika maeneo ya umma wakati unaweza kuona mwanamke kuvutia kwa kugeuka upande wa pili -. ... mpenzi wako kuwa na furaha na wala kodolea wanawake wengine katika kesi hiyo, unaweza pia kunyakua mpenzi na kumbusu mkono wake na kuvuruga usikivu kutoka kwa mwanamke mwingine Baada ya kwenda mahali fulani pamoja na mpenzi alifungua mlango, msaada wake katika gari, katika mgahawa wakati hoja mwenyekiti wa kukaa chini na kula chakula.. Ni ni muhimu sana kwa sababu wewe kufanya maamuzi muhimu kwa ajili yenu, daima kuzingatia akili mpenzi wa. Kama muhimu maamuzi kwa ajili yenu na jinsi si muhimu kwa maoni yake kuhisi kupuuzwa na usahau.
Wakati wewe kutembelea rafiki yako katika hali yeyote wala flirt pamoja nao. katika hali kama hiyo, kukaa chini na mpenzi wako, na si miongoni mwa marafiki zake. wakati wa kwenda ununuzi na daima kuleta kitu kwa ajili yake. Ni haiwezi kuwa baada ya siku katika kituo cha mkutano wa hadhara yenyewe itachukua hadi mashati sita, jozi mbili ya viatu, hata baadhi ya mambo kidogo kwa ajili yake, na huna akili. kuwa kutosha kununua dagaa zawadi, ambayo mara kwa mara nyingine inaonekana katika duka au kitu ambacho zilizotajwa Hii itakuwa na ufahamu kwamba wakati unafikiri juu ya kununua hiyo..
PENZI SALAMA
Mwanamke anapenda kupendwa! Mara nyingi wanawake ndiyo hasa huwa na mapenzi ya dhati zaidi kuliko wanaume. Mwanamke anapoamua kuwa na mpenzi wake, humpenda kwa moyo wake wote, hivyo hupenda kuwa salama katika penzi la dhati kwako.
Anapenda uhuru, anapenda kujisikia wazi kwako mahali popote. Mwanamke anajisikia vibaya sana anapokuwa hana uhuru hata wa kukushika mkono mnakuwa barabarani pamoja. Anapenda penzi la uwazi!
Maana mwingine utakuta akikutana na rafiki yake, badala ya kumtambulisha vizuri kama mpenzi wake, anaanza kupatwa na kigugumizi. Utamsikia akisema: “Ah! Huyu ni rafiki yangu bwana, anaitwa Latipha....” hili ni kosa kubwa linalofanywa na wanaume wengi bila kujua ni kosa.
Mwanamke anakosa amani ya moyo kutokana na unavyomtafsirisha mbele ya rafiki zako. Anahisi hayupo salama. Lazima atajiuliza maswali, kwanini hataki kunitambulisha? Kwanini anashindwa kusema mimi ni mpenzi wake? Sifananii? Sina mvuto au nina tatizo gani?
Hayo yanaweza kuwa maswali yatakayomuumiza sana kichwa mpenzi wako, ambaye si ajabu akafanya maamuzi ambayo hutayapenda. Kidonda hiki hubaki moyoni mwa mwanamke, huwa vigumu sana kuonyesha wazi kwamba amechukia kutokana na uliyomfanyia, lakini atabaki akiugulia moyoni mwake kwa uchungu.
Hata hivyo, kinachokuja akilini mwake ni kutafuta mwanaume mwingine ambaye atakuwa wazi kwake ili aweze kufurahia mapenzi badala ya kuendelea kuumia moyoni mwake. Ni dhahiri kwamba uamuzi huu hautaufurahia hakika.
UNAVYOJALI...
Mwanamke anapenda awe wa pekee kwako, umsikilize, umjali na umpe kipaumbele katika kila unachokifanya . Wanawake wengi wanapenda kudekezwa, lakini hawapendi kuweka hilo wazi kwa mwanaume wake. Kwa kumtazama tu utagundua mpenzi wako anahitaji nini zaidi kwako!
Wakati mwingine anaweza kukupa mitihani ili kupima kiwango cha penzi lako. Anaweza kukuambia anaumwa au anauguliwa na mtu wake wa karibu, lengo ni kuangalia ni jinsi gani unakuwa makini anapokuwa na matatizo. Vile utakavyochukulia tatizo lake kwa ukaribu, uchungu na kuona kama lako, ndivyo utakavyomfanya aone thamani la penzi lako kwake, ikiwa vinginevyo basi humuacha na machungu moyoni, huku akijutia kuwa na mpenzi wa aina yako.
Hii ni siri ambayo si rahisi mwanamke wako akueleze moja kwa moja. Atatumia lugha ya ishara kuonesha jinsi ambavyo anahitaji kuwa wa pekee kwako.
JIFUNZE SIRI HIZO.....
Hapa ndipo mwanaume mwerevu anatakiwa kuwa makini, ni lazima ufahamu siri zilizopo moyoni mwa mpenzi wako. Jifunze kusoma hisia za mpenzi wako kwa nje, kabla ya kufanya kitu, fikiria mara mbili, lakini baada ya kufanya, msome kupitia uso wake.
Analifurahia au umemchukiza? Ni vizuri kugundua hilo ili uweze kufunga hisia za kumfanya aanze kufikiria kukusaliti. Hata mnapokuwa faragha ni vizuri kuwa makini na kila unachokifanya! Chunguza kama anafurahia penzi lako na manjonjo yote unayomfanyia.
Kumbuka kwamba ni vigumu sana mwanamke kukueleza moja kwa moja kwamba hujamfurahisha au kuna kitu umekikosea, hii husababishwa na hofu ya kuogopa kukufanya ujisikie vibaya.
Kwa maneno mengi WEWE mwanaume ndiye mwenye kazi ya kuangalia mwanamke wako anapenda nini na nini hapendi ili uweze kuwa MWANAUME wake bora, maana hata hisia zake za ndani utakuwa unazifahamu. Ni rahisi sana, soma kupitia macho yake kila unachomfanyia, utaujua ukweli. Unajua hata ukimwita kwa jina ambalo hana msisimko nalo lakini ukiwa unamtazama usoni ni rahisi sana kugundua kitu fulani, kama hajakipenda utaona kwenye macho na akikipenda pia utaona.
Unapokuwa naye faragha, tumia uwezo wako wote, lakini kumbuka kwamba si kila utakachokifanya utamfurahisha. Hii inamaanisha kwamba, baada ya kumchunguza jinsi anavyosisimka, utaweza kugundua wapi kuna msisimko zaidi kuliko sehemu nyingine.
Hapo sasa unaweza kuibuka MSHINDI maana utakuwa umeziweka siri zake hadharani, kwa maneno mengine kama yeye aliona siri, basi umeweza kuzigundua na angalau umeanza kuzifanyia kazi. Nawapenda sana rafiki zangu. Wiki ijayo nitakuja na mada nyingine mpya na nzuri zaidi.
0 comments:
Post a Comment