MIMI MZEE WA TAMU TAMU NINAFAHAMU FIKA KUWA HUWA WANAUME
WANAPENDA SANA WAKE AMA WACHUMBA WAO WAFANYE MAZOEZI YA VIUNGO VYAO HILI WAWE
FITI, LAKINI NAYO YASIPITILIZE KUMFIKIA HUYU MWANADADA!!!
MAZOEZI YA VIUNGO KWA WATU WOTE IKIWEMO WANAWAKE NI SUALA LA
MUHIMU SANA KWANI PIA HUWA INASHAURIWA HIVYO KIAFYA; KUNA WANAWAKE WENGI SNA
WAMEKUWA WAKIGOMBEZWA HOSPITALINI WAKIWA WANAJIFUNGUA KUTOKANA NA MIILI YAO
KUWA LEGELEGE NA HOVYO KUTOKANA NA KUTOKUFANYA MAZOEZI.
WANAWAKE WENGINE WAMEKUWA WAKIUMWA SANA MAGONJWA KAMA PRESHA,
MIGUU NA MWILI KUKOSA NGUVU NA HATA KUZEEKA MAPEMA KUTOKANA NA
KUTOKUFANYA MAZOEZI.
0 comments:
Post a Comment