Kwa
Bongo tunajua kwamba mwanadada Agnes Gerald aka ‘Masogange’ anafunika
bovu kwa kuwa na booty yenye mvuto zaidi,ila huko Kenya ni shida
nyingine tena tunakutana na mwanadaa Corazon Kwamboka ambaye ametokea
kuwa gumzo na tishio kwa warembo wengi nchini humo. Corazon Kwamboka ambaye ni mwanasheria by profession, ameiteka
blogsphere ya Kenya kwa umbo lake matata na kuvutia kama la Agnes
Masogange. Hii imewafanya wasichana wengi wa Kenya wamuonee wivu na
kumsema vibaya. Jionee mwenyewe...
0 comments:
Post a Comment