MISS Tanzania 2011, Salha Israel na aliyekuwa mume wa
mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira
picha zao zimenaswa wakidendeka kwa raha zao.
Salha
Israel akiwa kwenye pozi la kimahaba na aliyekuwa mume wa mwanamitindo
maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira
Baada ya mapaparazi wetu kuzinasa picha hizo kwenye mitandao ya
kijamii, walimtafuta Salha na hakupokea simu lakini alipotafutwa
Abdullatif na kuulizwa kulikoni? Alitiririka:
“Mh! Kwa sasa sina jibu ila ipo siku kila kitu kitakuwa kweupe msiwe na haraka.
BOFYA HAPA KWA HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment