Ni mazingaombwe yanayoweza kupatikana tanzania pekee duniani.
‘ikulu inatoa tamko lao kuwa bunge litaendelea na katiba lazima ipatikakane bila hata ya kuwepo umoja wa katiba ya wananchi [ukawa].
Na wakati huo mwanasheria mkuu wa
serikali anakuja na vituko vingine vya kuueleza umma wa watanzania kuwa
bila [ukawa] katiba mpya haiwezi kupatikana.na tena anaenda mbali kwa
kuwaomba kwa moyo mweupe na kiunyenyekevu wale aliowaita matumbili,ati
tu kwa sababu wanapigania maslahi ya umma wa watanzania kuwa ame miss
manjonjo yao ya kupigania ukombozi wa watanzania!
-hapa tukubali tukatae lazima kutakuwa na ombwe la uongozi nchini.
Na askofu zackari kakobe atashinda
kwa unabii wa maneno yake kuwa c.c.m itasambaratika katika ramani ya
dunia na hatutaiona wala kuisikia tena!
0 comments:
Post a Comment