Thursday, July 10, 2014

BASI LA AMANI LAPATA AJALI MAENEO YA SALANDA MKOANI TABORA, MTOTO MMOJA AFARIKI DUNIA

By on 3:56 AM

Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi kuwa  chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta vitu vyao  Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri msaada wa usafiri Basi la Amani likiwa limepinduka
Kikosi kazi cha Michuzi TV kilicho katika ziara ya kikazi mikoani kikihojiana na baadhi ya abiria asubuhi hii.
                       <<KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>> 

0 comments:

Post a Comment