DSC_0457
Baadhi ya wakazi wa Mivinjeni Kurasini wakiwa na mabango katikati ya Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam hivi sasa, zenye ujumbe wa malalamiko ya kudai kulipwa  fidia zao ili kupisha mradi wa ujenzi wa bandari kavu kwenye eneo hilo.
DSC_0471
DSC_0472
DSC_0476
HABARI KAMILI ITAKUJIA HAPO BAADAE KIDOGO..!
DSC_0458
Baadhi ya magazri na mabasi yakigeuza yalikotoka.
DSC_0459
Gari lililokuwa likielekea kwenye maonyesho ya Sabasaba likizuiwa na wakazi wa eneo hilo.
DSC_0461
Mabasi yakizuiwa kupita.
DSC_0463
Baadhi ya waanawake wa eneo hilo wakimzuia mwanamke mwenzao aliyemo kwenye gari kupita kwenye barabara hiyo.
 PICHA ZAIDI ZA MABOMU YA MACHOZI NA TAARIFA KAMILI ZITAKUJIA HIVI PUNDE.CREDITS: MO BLOG