Wednesday, July 9, 2014

Mwanamke mwingine aliyefanya kitendo kinachohisiwa alikua muuaji.

By on 2:09 AM

hkMatukio ya wakinamama kutupa vichanga wao wanapozaliwa yamekua ni sehemu ya taarifa za mara kwa mara tunazozisikia hii ni nyingine ya Mwanamke aliyeshtukiwa akitaka kuua kichanga chake muda mchache baada ya kujifungua
Kibaya zaidi inasemekana alimvunja mguu mmoja ambao kwa mujibu wa Gea Habib amesema kuwa mguu huo unazunguka kama feni.

0 comments:

Post a Comment