Friday, July 4, 2014

Kuhusu mtoto aliyetupwa mama yake amepatikana

By on 1:40 PM

hekaaaaaMwanzoni mwa wiki hii kupitia idara ya Hekaheka ilitoka taarifa juu ya mtoto ambaye alitelekezwa nje ya gheti na baadae ikasemekana kuwa mama wa mtoto huyo alimtupa sasa mama wa mtoto huyo kashamchukua mtoto wake ingawa taarifa inasema kuwa mama huyo alimpeleka mtoto kwa baba yake hivyo inawezekana baba wa mtoto huyo ndiye aliyefanya kitendo hicho.

0 comments:

Post a Comment