Daraja
limebomoka na kuua watu wawili huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa
katika mji ambako mechi za nusu fainali zikitarajia kuchezwa nchini
Brazil.
Tukio hilo limetokea katika mji wa Belo Horizonte wakati magari yakipita chini ya daraja ambapo moja ya malori lililokuwa limebeba gari na ujenzi na gari moja lilinasa kwa mujibu wa maafisa.


0 comments:
Post a Comment