Lori likiwa mtaroni baada ya kuacha njia eneo la Tabata-Kibaoni.

Wananchi wakishuhudia ajali hiyo ya lori lililoingia mtaroni.
AJALI hii imetokea eneo la Tabata-Kibaoni jijini Dar es Salaam wakati lori hili likijaribu kuingia kituo cha kuuzia mafuta.
0 comments:
Post a Comment