
Mwanzoni
mwa wiki hii kupitia idara ya Hekaheka ilitoka taarifa juu ya mtoto
ambaye alitelekezwa nje ya gheti na baadae ikasemekana kuwa mama wa
mtoto huyo alimtupa sasa mama wa mtoto huyo kashamchukua mtoto wake
ingawa taarifa inasema kuwa mama huyo alimpeleka mtoto kwa baba yake
hivyo inawezekana baba wa mtoto huyo ndiye aliyefanya kitendo hicho.
0 comments:
Post a Comment