"Dada akutwa kalala kwenye kabati ya chips maeneo ya Yombo Vituka leo
asubuhi. Muuza chips alifunga kabati na kufunga eneo lake labiashara kwa
kufuli kisha akaenda kulala. Asubuhi alipofungua ndipo akamkuta
mwanadada amelala juu ya chips na mishkaki akiwa hajitambui. Bado
haijajulikana aliingiaje maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa.!"
0 comments:
Post a Comment