Picha zinazoonyesha jinsi mtangazaji wa
kituo cha Redio cha Times, Khadija Shaibu alivyochezea kichapo kutoka
kwa mumewe, Edzen Jumanne zimevuja.![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vYGkMKVR27qirng9LgDcVkIruXG-PYFP-InD3n9yVu0gpDijP5hshfuFvlUnFikBNe03eINoIZ5FkZi100l1fYr9ehU1WL8UvYIPd8-7HPwctLZWZbqtkQtpH7Pu_4InKXn1o8GROeLN5-60KHLA7XIUN7kQ2vSISVxYuEqS_qMmbDfnmMWxBe8jp9eO5h4uzS1l0D3SObv51r_43on8Kp00yHgcBEh5fby7_xdkkHF568YibFN0DmLVu8RXMLREFU=s0-d)
Majeraha katika mwili wa Dida baada ya kipigo kutoka kwa mumewe Ezden.
Picha hizo zinamuonesha Dida akiwa na majeraha makubwa sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo mkononi, kichwani na mapajani.Mpaka sasa wawili hao kila mmoja kivyake huku ndoa ikielezwa kuwa haipo tena.
0 comments:
Post a Comment