Asema hakuna haja ya kuharakisha mchakato huo sababu wananchi wanahitaji katiba bora. Amesema ni muhimu mchakato uhairishwe ili ufanyike kwa ubora zaidi.
Jambo la msingi ni kufanya mabadiliko yatakayotuletea uchaguzi huru na wa haki ikiwa ni pamoja na tume huru ya uchaguzi na kukata rufaa ya matokeo ya uraisi.
Amesema baada ya kujitathmini na kufanya uamuzi kwa 90% yupo tayari kugombea urais kwa kuwa nchi inahitaji kizazi kipya kitakachokabiliana na changamoto za karne ya 21.
Source: BBC Swahili (star tv saa tatu usiku)
0 comments:
Post a Comment