Kiu ya kushinda zawadi yenye jina lililomsafirisha kimawazo imemponza
msichana mmoja Muingereza baada ya kuamua kutoa utu wake na kukubali
kushiriki kwenye mchezo wa kufanya vitendo vya ngono (bl*wjob) na
wanaume 24 hadharani kwenye club ya usiku ili ashinde 'Holiday'.
'Holiday' ni jina la kinywaji cha cocktail kilichotengenezwa na gin,
vodka, peach schnapps, blackcurrant liqueur na fruit juice.
Lakini masikini msichana huyo mwenye miaka 18 hakulifahamu hilo, ndio
maana alijitoa muhanga kushiriki katika mchezo huo uliofanyika kwenye
bar iitwayo Alex's Bar huko Hispania.
spain
Binti huyo ambaye jina limehifadhiwa aliambiwa na waandaaji wa mchezo
huo kuwa endapo atashiriki basi atajishindia 'Holiday', lakini mwisho wa
siku kumbe zawadi ni ya kinywaji cha cocktail kinachogharimu £4 sawa na
elfu 11 ya kibongo.
Msichana
huyo alikuwa akishangiliwa na umati uliokuwa ukishuhudia mchezo
huo mchafu huku wengine wakirekodi tukio hilo kwenye simu zao. Msichana
huyo alikuwa akihamasishwa kunywa sana na kuambiwa atashinda 'holiday'
kama atashiriki kwenye mchezo huo. Kwa bahati mbaya 'Holiday'
hiyo ikageuka kuwa ni jina la kinywaji cha cocktail. Namwonea huruma'
shuhuda mmoja aliiambia gazeti la The Sun.
0 comments:
Post a Comment