
Matukio
ya wakinamama kutupa vichanga wao wanapozaliwa yamekua ni sehemu ya
taarifa za mara kwa mara tunazozisikia hii ni nyingine ya Mwanamke
aliyeshtukiwa akitaka kuua kichanga chake muda mchache baada ya
kujifungua
Kibaya zaidi inasemekana alimvunja mguu mmoja ambao kwa mujibu wa Gea Habib amesema kuwa mguu huo unazunguka kama feni.
0 comments:
Post a Comment