Wednesday, July 2, 2014

Pinda awaagiza UKAWA kurudi bunge la katiba; asema sio OMBI

By on 2:12 PM

Pinda awaagiza UKAWA kurudi bunge la katiba; asema sio OMBI
Ametoa agizo hilo leo Iringa katika Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Ngalalekumtwa katika kanisaa katoliki Iringa. Amesema ukawa lazima wahakikishe wanarudi bungeni kujadili.katiba na kusisitiza sio ombi kwani wananchi wanataka hivyo. Amesisitiza kuwa endapo ukawa watakwamisha upatikanaji wa katiba bora, ataongoza kampeni nchi nzima kuwataka wananchi kuikataa katiba wakati wa kura ya maoni na kuwanyima kura wapinzani.katika uchaguzi mkuu ujao

0 comments:

Post a Comment