Ni
katika Mahakama ya Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo kesi ya
Sabina Njeri mwenye umri wa miaka 23 ambaye anakabiliwa na mashtaka ya
kumuua mume wake kwa kumchoma kisu baada ya kushindwa kumnunulia viatu
vyenye thamani ya shilingi za Kenya 1000 ambazo ni sawa na kama shilingi
elfu 18 za kitanzania.
Chini
ya hakimu Heziah Kiago aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo inadaiwa
mwanamke huyo na mumewe walikuwa katika matembezi eneo la Makutano ndipo
alipoona viatu hivyo na kumuomba mumewe amnunulie ambapo baada ya
mumewe kukataa na Njeri kusubiri hadi walipofika nyumbani akamchoma
kisu cha shingoni.
Angalia Video nzima ya story yenyewe kama ilivyoripotiwa na kituo cha Citizen Tv Kenya.
0 comments:
Post a Comment